RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAGENI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
Amadou Hott aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
(AfDB) Amadou Hott Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Amadou Hott mara
baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) nchini
Jean Pierre Tshampanga Mutamba Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi huyo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) nchini Jean Pierre
Tshampanga Mutamba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na kumkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti
Enterrprise, Sunil Bharti Mittal aliyefika Ikulu kwa ajili ya
mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterrprise, Sunil Bharti Mittal
mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterrprise, Sunil Bharti Mittal
Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment