MANJI AJISALIMISHA POLISI

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga ,Yusufu Manji akiwasili katika kituo cha Polisi Kati jijini Dar es Salaam mara baada ya kuamua kujipeleka hapo yeye kwa ajili ya kuhojiwa baada ya kutajwa kwenye watu wanaotuhumiwa na madawa ya kulevya.
Yusufu Manji akipokelewa na baadhi ya wanachama wa Yanga katika kituo cha Polisi kati mara baada ya kujipeleka leo badala ya kesho
Manji akisalimiana na wanachama wa Yanga katika kituo cha Polisi Kati
Mnaji akiwa akiwa ameongozana na mawakili wake na wasaidizi kuingia kituo cha kati jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Yanga Yusufu Manji akisalimiana na Waandishi wa Habari jijini Dar ess Salaam katika kituo cha Polisi Kati






Comments

Popular posts from this blog