MAJALIWA ATETA NA MBUNGE WA SIMANJIRO
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia kwaya ya Wamasai wa Simanjiro wakati
alipowasili kwenye uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjairo mjini
Orkesimet Februari 16, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara,
Joel Bendera.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zana za asili za kabila la wamasai
wakati aliposimikwa kuwa Mzee wa Simanjiro na kupewa jina la Ole
Majaliwa katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa
Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mji Orkesimet Februari 16, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments
Post a Comment