KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA LEO
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Waziri Mkuu Majaliwa Kassim
Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam, leo, Februari 18, 2017, kwa ajili ya mazungumzo
baina yao .
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim
Majaliwa, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam, leo, Februari 18, 2017, kwa ajili ya mazungumzo
baina yao .
Wakienda eneo la kufanyia mazungumzo
Wakiwasili eneo la mazungumzo Ofisini kwa Katibu Mkuu wa CCM.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Waziri Mkuu,
Majaliwa Kassim Majaliwa, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Feb 18, 2017. (Picha zote na Bashir
Nkoromo) .
Comments
Post a Comment