Wachezaji
wa Simba wakiwa wamembeba winga wa kulia wa timu hiyo Shiza Kichuya
mara baada ya kuipatia Simba bao la ushindi katika mchezo wake wa ligi
kuu ya Viodacom Tanzania
Mameneja wa timu ya Simba wakiwa wamembeba mchezaji Shiza kichuya mara
baada ya kuipatia timu hiyo bao la kuongoza katika mchezo wake dhidi ya
Yanga
Mashabiki wa Yanga wakiwa wamekaa kwa huzuni mara baada ya timu yao
kupigwa bao 2-1 na timu ya Simba katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Tanzania.
Mashabiki wa timu ya Simba wakishangilia kwa furaha mara baada ya timu
yao kuibuka na ushindi wa bao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacoma
Tanzania.
Kiungo wa kati wa Yanya Haruna Niyonzima akijaribu kumtoka beki wa SimbaJanvier Bukungu
Mshambuliaji wa Simba Laudit Mavugo akiweka sawa mpira mbele ya beki wa kati wa Yanga Kelvin Yondan
Golkipa wa Yanga Deogratius Munishi akiokoampira uliopigwa na mshambualiaji wa Simba Laudit Mavugo
Kiungo wa Simba Said Ndemla akiwania mpira na kiuongo wa kati wa Yanga,Justin Zulu (Mkata umeme)
Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajib akimtoka beki wa Yanga Mwinyi Haji katika mchezo huo ambao Simba imeshinda bao 2-1

Comments
Post a Comment