BREAKING NEWS: ANGALIA TUNDU LISSI NAWEMA SEPETU WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI MUDA HUU WAKIWA KWENYE GARI MOJA
Mbunge
wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu pamoja
na Mwigizaji Wema Sepetu wamefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu
kujibu tuhuma zinazowakabili.Tundu Lissu anatuhumiwa kwa kutoa kauli za
kichochezi mara kwa mara na Wema Sepetu ni kuhusu ishu za dawa za
kulevya
Wema Sepetu

Tundu Lissu

Tundu Lissu

Tundu Lissu

Wema Sepetu




V
Comments
Post a Comment