AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akitunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la
Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya Ikulu jijini
Dar es salaam Jumamosi Februari 18, 2017.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiweka saini katika hati ya Kamisheni muda mfupi kabla ya
Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Tanzania na
kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es
salaam Jumamosi Februari 18, 2017.

Kikundi
cha ngoma cha JWTZ kikitumbuiza kwa ngoma ya Chaso ya Pemba wakati
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli alipotunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la
Ulinzi la Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya
Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi Februari 18, 2017.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli, Makamu wa rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim
Majaliwa, Waziri wa ulinzi nja Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein
Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Juma Kijazi na viongozi wengine
katika picha ya pamoja baada ya Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa
Jeshi la Ulinzi la Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki katika
viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi Februari 18, 2017.PICHA
NA IKULU
17944552
Comments
Post a Comment