RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA PROFESA IBREAHIM HAMISI JUMA KUWA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu
jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018. Anayeshuhudia
kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano
Januari 18, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza
baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais
Mhe Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba Profesa Sifuni Mchome na Naibu
wake Mhe. Amon Mpanju wakiwa katika picha ya pamoja na majaji wa
mahakama ya Rufaa, Majaji wa Mahakama kuu baada ya kumuapisha Profesa
Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es
salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, katika picha ya
pamoja na majaji wa mahakama ya Rufaa na Majaji wa Mahakama kuu baada
ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, katika picha ya
pamoja na watendaji wa Mahakama baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim
Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam
leo Jumatano Januari 18, 2018.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment