JKCI KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI AFRIKA WA NCHINI MAREKANI WATOA HUDUMA YA KUZIBUA MISHIPA YA MOYO ILIYOZIBA
Madaktari
Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa
kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakitoa huduma kwa
mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba bila ya kupasua kifua
(Catheterization). Kulia ni Dkt. Peter Kisenge, akifuatiwa na Dkt.
Peter O’brien na kushoto ni Afisa Muuguzi Ayoub Mchau.
Daktari
Bingwa wa Moyo kutoka Madaktari Afrika wa nchini Marekani Dkt. Peter
O’brien na Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Ayoub
Mchau wakitoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa
umeziba bila ya kupasua kifua (Catheterization).
Madaktari
Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa
kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakiendelea na kazi
ya kutoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba
bila ya kupasua kifua (Catheterization).
Comments
Post a Comment