WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA HALMASHAURI YA ARUSHA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua mradi wa maji wa kijiji cha Ondenderet
wilayani Arusha Desemba 17, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akimtwisha ndoo ya maji bibi Agness Silima ikiwa ni
ishara ya kuzindua mradi wa maji wa kijiji cha Onderet wilayani Arusha
Desemba 17, 2016.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akipiga ngoma ya msanja iliyokuwa ikichezwa na
wnanwake wa Arusha baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Ondenderet
wilayani Arusha Desemba 17, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya wanawake wa kimasai baada ya
kuzindua mradi wa maji wa kijiji cha Ondenderet wilayani Arusha Desemba
17, 2016. kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa eneo la Kwamrombo
wilayani Arusha ambao walijipanga kwa wingi barabarani na kumshawishi
kusimama ili kuzungumza nao. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Arusha
Desemba 17, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa kizungumza na wananchi wa kijiji cha Ormapinu
wilayani Arusha ambao wlijipanga kwa wingi barabarani na kumshawishi
kusismama ili kuwasikiliza. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Arusha
Desemba 17, 2016.
Comments
Post a Comment