PICHA: SAFARI YA MWISHO YA FIDEL CASTRO WA CUBA
Mwili
wake wa aliyekuwa Rais wa Cuba umechomwa moto hadi kuwa majivu kama
alivyotaka, katika sherehe ya kibinafsi, na majivu yake yamezungushwa
katika msafara maalumu kote nchini kabla ya kuzikwa katika Makaburi ya
Mji wa Santiago leo Desemba 4, 2016. Cuba inaadhimisha siku tisa za
maombolezo kufuatia kufariki kwa Fidel Castro akiwa na umri wa miaka 90.
Kasiki
lenye majivu ya Fidel Castro yakiwekwa garini tayari kwa kuzungushwa
katika msafara maalumu kote nchini kabla ya kuzikwa katika Makaburi ya
Mji wa Santiago
Kasiki lenye majivu ya Fidel Castro yakiwa garini kuzungushwa katika msafara maalumu kote nchini
Gari maalumu likiwa na Kasiki lenye majivu ya Fidel Castro yakiwa garini kuzungushwa katika msafara maalumu kote nchini
Wananchi
wakijipanga kuaga Kasiki lenye majivu ya Fidel Castro yakiwa garini
kuzungushwa katika msafara maalumu kote nchini Cuba.
Comments
Post a Comment