YANAYOENDELEA KUJIRI NYUMBANI KWA MAREHEMU SAMUEL SITTA
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akisaini kitabu cha
maombolezo, wakati alipofika nyumbani kwa Marehemu Mh. Samuel Sitta
aliekuwa Spika wa Bunge na Waziri Mwandamizi katika Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, aliefariki leoNovemba 7, 2016 huko nchini Ujerumani. Msiba upo Nyumbani kwa Marehemu, Masaki jijini Dar es salaam.
Mkuu wa
Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda (wa pili kulia) akiwa katika
mazungumzo na baadhi ya viongozi pamoja ndugu wa Marehemu Mh. Samuel
Sitta aliekuwa Spika wa Bunge na Waziri Mwandamizi katika Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliefariki leo Novemba 7, 2016 huko
nchini Ujerumani.
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akisaini kitabu cha Maombolezo
cha aliekuwa Spika wa Bunge na Waziri Mwandamizi katika Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliefariki leo Novemba 7, 2016 huko
nchini Ujerumani.
Sehemu ya ndugu wa Marehemu wakiwa nyumbani hapo.
Comments
Post a Comment