Trump Ashinda Urais wa Marekani, Clinton Akubali Matokeo
Clinton akubali kushindwa
CNN na NBC wameripoti kwamba mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton amempigia simu Donald Trump na kukubali kushindwa.
Shangwe kambi ya Trump
Shangwe, nderemo na vifijo zimetanda miongoni mwa wafuasi wa Donald Trump.
Trump: Asanteni sana
Trump amepanda jukwaani Manhattan, New
York. Amewashukuru wafuasi wake na kusema amepigiwa simu na Hillary
Clinton “kuwapongeza”.
Akizungumza na wafuasi wake baada ya kutangazwa mshindi, Trump
amewataka raia wote wa Marekani, waliomchagua na ambao hawakumchagua
kuungana na kuanza kuijenga nchi yao kwani muda wa kampeni na siasa za
kugawanyika umekwisha. Tupia Comment Yako Hapa
Comments
Post a Comment