Rais Magufuli, Nkurunzinza Wampongeza Donald Trump kwa Kushinda Urais wa Marekani

magufuli
 
Leo November 9, 2016 Marekani imeweka historia nyingine baada Donald Trump wa Chama cha Republican kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais, na tayari ameanza kupokea pongezi kutoka kwa viongozi wa nchi mbalimbali ikiwemo Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ni miongoni mwa viongozi waliompongeza Donald Trump kupitia Twitter.
 
Rais Magufuli ametoa pongezi zake kwa Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake Twitter

Nkurunzinza.jpgNkurunziza ampongeza Trump

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amesema ushindi wa Trump ni ushindi wa Wamarekani wote.
Tupia Comment Yako Hapa
Follow Us

Comments

Popular posts from this blog