Rais Magufuli Afanya Ziara ya Kushtukiza Gereza la Ukonga Dar
Amiri
Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni akiwa na Kamishna Mkuu
wa Magereza John Casmir Minja kabla ya kuongea na maafisa na askari wa
Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga
jijini Dar es Salaam leo Novemba 29, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipewa muhtasarai wa
kazi na Kamishna Mkuu wa Magereza, John Casmir Minja kabla ya kuongea
na maafisa na askari wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kustukiza
katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam leo Novemba 29, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya
maafisa na askari wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kustukiza
katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam leo Novemba 29, 2016.
Askari
wakiwa na shauku ya kutoa kero zao mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli alipoongea na maafisa na askari wa Jeshi la
Magereza alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga jijini
Dar es salaam leo Novemba 29, 2016
Baadhi
ya maafisa na askari wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Rais Dkt John
Pombe Magufuli alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga
jijini Dar es salaam leo Novemba 29, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikaribishwa na
Kamishna Mkuu wa Magereza John Casmir Minja ili aongee na maafisa na
askari wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza
la Ukonga jijini Dar es salaam leo Novemba 29, 2016.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment