Polisi Dar Yaeleza kwa Nini Hawajamkamata Tundu Lissu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamishna wake Simon Sirro
imesema sababu za kwanini Tundu Lissu hajakamatwa mpaka sasa ni
kutokana na Polisi kutopokea hati yoyote kutoka Mahakamani Kisutu
inayoagiza kukamatwa kwa Tundu Lissu lakini ikiwafikia tu watafanya
hivyo.
Comments
Post a Comment