Mwili wa Samuel Sitta Ulivyopokelewa Uwanja wa Ndege Dar

mwili-wa-sitta-1 mwili-wa-sitta-2 mwili-wa-sitta-3 mwili-wa-sitta-4 mwili-wa-sitta-5
Mwili  wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta umewasili jioni hii katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ukitokea nchini  Ujerumani ambako alikuwa akitibiwa hadi mauti yalipomfika.
 Mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege mwili wa Marehemu Sitta utapelekwa nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog