Kambi Kubwa ya Jeshi la Marekani Yashambuliwa, Wanne Wauawa

bagrashBagram: Watu wanne wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya Wanamgambo wa Taliban kuishambulia Kambi Kubwa ya Jeshi la Marekani ya Bagram nchini Afghanistan.
bagramJeshi linaloongozwa na NATO, limesema kuwa shambulizi hilo ni la kujitoa muhanga kwani mlipuaji huyo alivalia bomu bila wao kujua aliwadanganya kuwa nyeye ni miongoni mwa wafanyakazi wa kambi hiyo, wakati wafanyakazi walipokuwa wakiwasili katika kambi hiyo kwa shughuli za siku.
bagram1Kundi la Taliban linasema kuwa ndilo lilihusika. Hakuna taarifa zaidi kuhusu uraia wa wale waliouawa.article-doc-i11cr-1ykqfpeiaqc16c489cff06af9688-565_634x421

Comments

Popular posts from this blog