Hatimaye Bunge Lapitisha Mswada Sheria ya Huduma za Habari

bunge-tzHatimaye mchana huu wabunge wamepitisha bungeni muswada wa sheria ya huduma za habari wa mwaka 2016 uliojadiliwa kwa siku mbili.
Mswada huo uliwasilishwa bungeni jana mjini Dodoma na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kisha wabunge wakaanza kuujadili. Picha na Edwin Mjwahuzi

Comments

Popular posts from this blog