Afrima Awards: Diamond Platnumz Anyakua Tuzo 3

diamond-afrima-tuzo-3Lagos, Nigeria: Diamond Platnumz ameibuka na ushindi wa nguvu kwenye tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Muimbaji huyo ameshinda tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.
Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii aliyetunukiwa tuzo ya heshima.
diamondWasanii wengine waliotumbuiza ni pamoja na Patoranking, P-Square, Falz, Eddy Kenzo, Avril, Simi, Darey, Phyno, Seyi Shay na wengine.
Chini ni orodha ya washindi kwenye tuzo hizo pamoja na picha za ndani ya ukumbi na red carpet:
Artist of the Year 
Wizkid
Song of The Year
Utanipenda – Diamond
Album of the Year
Ahmed Soultan
Revelation of the year
Falz
Video of the Year
Dogo Yaro – Vvip

Best African Collaboration

Eddy Kenzo ft Niniola – Mbilo Mbilo (Remix)
Best African Group
VVip

Best African Jazz
Jimmy Dludlu
Best Artist/Duo/Song Of The Year 
Diamond – Utanipenda
Best Artist/Duo/Group in African Rock
Mvula
Best Artist/Duo/Group African Ragga & Dancehall
Patoranking
Best Artist/Duo/Group African RnB
Henok and Mehari Brothers
Best Artist/Duo/Group African Hiphop
Stanley Enow
Favourites Award
Phyno
Song writer of the year
Unique Muziki – Uganda
Most Promising Artiste
AmineAub

Artiste/Dou/GroupBand in African Contemporary
Flavour
Best female Artiste in Inspirational music
Naomi Achu
Best Male Artiste Western Africa
Flavour
Best female artiste Western Africa
Aramide

Best male artiste Northern Africa

Dj Van
Best male artiste S/Africa
BlackCoffee
Best female artiste S/Africa
Bruna Tatiana
Best Male Artiste Eastern Africa
Diamond Platnumz
Best Female Eastern Africa
Cindy Sanyu

Comments

Popular posts from this blog