Wahukumiwa Kifo kwa Kumuua Albino Bukoba

bukoba
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa waili Lameck Bazil na Pankras Minago kwa kumuua albino Magdalena Andrea.
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Firmin Matogolo baada ya kuridhika na ushahidi kuwa watu hao ndiyo waliomuua mlemavu huyo ambaye ni mkazi wa Wilaya ya Biharamulo mwaka 2008.
Credit:Fahari News

Comments

Popular posts from this blog