RAIS MAGUFULI AMTHIBITISHA AMTEUA PROF. MUSERU KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI..
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA CUBA, IKULU JIJINI DAR LEO
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Cuba, Salvador Antonio Valdes Mesa (kulia kwake) na ujumbe
wake alipokutana nae Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2016.
Makamu wa Rais wa Cuba, yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu
yenye lengo la kuendeleza na kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na
Cuba katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, utamaduni, michezo,
kilimo, nishati, teknolojia na kuangalia maeneo mapya ya uwekezaji.
Makamu
wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia walioketi) akiwa na
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba, Salvador Antonio Valdes Mesa (wa tatu
kushoto walioketi) wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wao, mara
baada ya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 3, 2016
Comments
Post a Comment