PICHA MBALIMBALI ZA TUKIO LA KUWASILI MFALME MOHAMED VI WA MOROCCO, NCHINI KWA ZIARA YA SIKU TATU
Mfalme wa
Morocco Mhe. Mohammed VI (aliyetangulia mbele) akishuka katika Ndege
mara alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K.
Nyerere 23/10/2016 kwa ajili ya ziara rasmi ya siku tatu Jijini Dar es
Salaam.
Mfalme wa
Morocco Mohammed VI akipokea shada la maua alipowasili Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ziara
rasmi ya siku tatu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki
Mfalme wa Morocco Mohammed VI mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ziara
rasmi ya ya siku tatu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mfalme
wa Morocco Mohammed VI wakisimama kwa nyimbo za Taifa na mizinga 21
mara baada ya Mfalme huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ziara ya siku tatu Jijini
Dar es Salaam.
Mfalme wa
Morocco Mohammed VI akikagua gwaride mara baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa
ziara ya siku tatu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Mfalme wa
Morocco Mohammed VI mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ziara ya siku tatu
ya kikazi Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa kwa Mfalme wa Morocco
Mohammed VI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K.
Nyerere 23/10/2016 kwa ziara rasmi ya siku tatu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulishwa sehemu ya ujumbe wa Mfalme wa Morocco Mohammed VI mara
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere
23/10/2016 kwa ziara rasmi ya siku tatu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika
maongezi na Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ajili ya ziara
rasmi ya siku tatu Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya ujumbe wa wafanyabiashara walioongozana na mfalme wao
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
Mfalme wa Morocco Mhe. Mohammed VI wakifurahia ngoma mara baada ya
Mfalme huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere 23/10/2016 kwa ziara rasmi ya siku tatu Jijini Dar es
Salaam.
Mfalme wa
Morocco Mhe. Mohammed VI (wa pili kulia) pamoja na mwenyeji wake Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
wakiangalia kikundi cha ngoma cha Usambara mara baada ya Mfalme huyo
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K.
Nyerere 23/10/2016 kwa ziara rasmi ya siku tatu Jijini Dar es Salaam.
Mfalme wa
Morocco Mhe. Mohammed VI (wa pili kulia) pamoja na mwenyeji wake Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
wakiangalia kikundi cha ngoma cha Usambara mara baada ya Mfalme huyo
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K.
Nyerere 23/10/2016 kwa ajili ya ziara rasmi ya siku tatu Jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Mfalme
wa Morocco Mohammed VI wakisimama kwa nyimbo za Taifa na mizinga 21
mara baada ya Mfalme huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius K. Nyerere 23/10/2016 kwa ziara ya siku tatu Jijini
Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment