Magufuli Amwandalia Dhifa Ya Taifa Kabila

 Rais John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar.
 Kabila akimwamkia rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi  Ikulu katika dhifa ya taifa.
 …Akimsalimia Mama Sitti Mwinyi, mke wa Ali Hassan Mwinyi.
 …Akisalimiana na spika mstaafu  Anne Makinda .
 
  …Akisalimiana na  Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Ali Maulid.
  Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya taifa.
 Kuoka kushoto ni rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuberi Ali Maulid na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi.
 Sehemu ya wageni waalikwa.
 Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete, Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,  Augustine Mahiga na Waziri wa Mambo ya Nje wa DRC, Raymond Tshibanda 
 Wakuu wa vyombo vya ulinzi wa Tanzania na DRC.
 Baadhi ya wakuu wa vyombo vya ulinzi.
 Cecilia Kabila (kulia), mdogo wake Rais Kabila wa DRC alikuwepo.
 Baadhi ya waalikwa .
Sehemu nyingineya waalikwa.
 Meza kuu ikiwa na Rais Magufuli, mgeni wake Kabila , Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli.
 Rais Magufuli akiwa na mgeni Kabila na Samia Suluhu Hassan
 Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji
  Bakhressa na Dewji wakiwa na wenzao wa DRC na Tanzania.
 Msanii mkongwe Zahir Ally Zorro alikuwepo kutoa burudani.
 Rais Magufuli akihutubia.
 Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimsikiliza Magufuli. 
 Sehemu ya wadau mbalimbali wakimsikiliza Rais  Magufuli 
 Mkalimani Mussa Lulandala akiwa kazini.
 Wageni  wakifuatilia hotuba ya  Magufuli. 
 Mama Magufuli akigonganisha glasi na Kabila.
 Glasi zikigongwanishwa baada ya hotuba ya Magufuli. 
 Meza kuu ikisimama wakati wimbo wa Taifa wa DRC ukipibgwa. 
 Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa.
 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akimtakia heri mwenyeji wake Magufuli.
 Rais  Kabila akigonganisha  na Magufuli.
 …Akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli.
 …Akigonganisha glasi na Samia Suluhu Hassan.
 Mama Janeth Magufuli akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa “Nani kama Mama”.
 Mkurugenzi Mkuu wa TPA Eng. Deusdedit Kakoko akimtuza  Christian Bella.
Mama Salma Kikweteb akimtuza mwanamuziki Bella.
 Ngoma ya Msewe ikichezwa na kundi la utamaduni la JKT.
  Rais Magufuli na  Kabila wakitumbuizwa na kikundi cha Brass Band cha Mount Usambara chini ya Mzee Hoza.
 Rais Magufuli akionesha umahiri wake wa kupiga ngoma mbele ya  Jakaya Mrisho Kikwete.
PICHA NA IKULU

Comments

Popular posts from this blog