Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania
(JWTZ) Jenerali Davies Mwamunyange alipowasili kufunga mafunzo ya
medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipowasili kufunga mafunzo
ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa
eneo lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani
Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng.
John Kijazi alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua
ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya
JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya
Usalama wa Taifa Dkt Modestus Kipilimba alipowasili kufunga mafunzo ya
medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani
Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest
Mangu alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua
ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na
adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya
JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Jeshi
la Magereza nchini Afande John Casmir Minja alipowasili kufunga mafunzo
ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa
eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani
Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Valentino Mlowola
alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka
ndani ya maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious
Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika
kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kaimu Kamishna Mkuu wa Idara ya
Uhamiaji Mama Victoria Lembeli alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya
Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akipokea saluti toka kwa Katibu Mkuu Wizara
ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi alipowasili
kufunga mafunzo ya medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya
maji na kukomboa eneo lililokaliwa na adui (Amphibious Landing) ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini,
Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi alipowasili kufunga mafunzo ya
medani ya Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi
mstaafu, Jenerali Robert Mboma alipowasili kufunga mafunzo ya medani ya
Kijeshi ya kutua ardhini kutoka ndani ya maji na kukomboa eneo
lililokaliwa na adui (Amphibous Landing) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya miaka 52 ya JWTZ, katika kijiji cha Baatini, Wilayani Bagamoyo.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Katiba na Sheria Mama suzana Mlawi.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Majenerali wa JWTZ.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa zoezi
hizo Meja Jenerali James Mwakibolwa.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuweka saini katika kitabu cha wageni
akishuhudiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiweka saini katika kitabu cha wageni.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiongea na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine akisikiliza muhtasari wa zoezi
hilo.
Wanadhimu wa zoezi.
Sehemu ya wasimamizi wa zoezi hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa zoezi hizo Meja Jenerali James Mwakibolwa akisoma taarifa.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na viongozi
wengine akisikiliza muhtasari wa zoezi hili.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine akisikiliza muhtasari wa zoezi
hili.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi Mstaafu
Jenerali Robert Mboma.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange
kabla ya kuelekea kwenye uwanja wa zoezi la Medani.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri wa Ulinzi na Jeshi
la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies
Mwamunyange kuelekea kwenye uwanja wa zoezi la Medani
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri wa Ulinzi na Jeshi
la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi kuelekea kwenye uwanja wa zoezi la
Medani.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri wa Ulinzi na Jeshi
la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na kuelekea kwenye uwanja wa zoezi
la Medani.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa akiwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein.

Shein, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange (kulia) na Mkurugenzi
Mkuu wa zoezi hilo Meja Jenerali James Mwakibolwa (kushoto).
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akipiga saluti wakati wa wimbo wa Taifa.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi
(kulia) na mmoja wa washereheshaji Meja BMP Mlunga wakipiga saluti
wakati wa wimbo wa Taifa.
Brass band ya JWTZ ikiwa tayari tayari.
Mcheza
ngoma hodari wa kikundi cha sanaa cha JWTZ Private Juma Abdulrahman
Juma akikaribishwa jukwaa kuu kupewa zawadi kwa burudani nzuri
iliyooneshwa na kikundi chake.
Mcheza
ngoma hodari wa kikundi cha sanaa cha JWTZ Private Juma Abdulrahman
Juma akiendelea kutoa burdani baada ya kukaribishwa jukwaa kuu kupewa
zawadi kwa kazi nzuri iliyooneshwa na kikundi chake.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akimtuza Private Juma Abdulrahman Juma kwa niaba
ya wenzie kwa burudani nzuri.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akimpongexza kwa burudani nzuri Private Juma
Abdulrahman Juma kwa niaba ya wenzie.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein akimtuza Private Juma Abdulrahman Juma kwa niaba ya wenzie.
Makamanda wakipiga bastola za miali kuashiria kuanza kwa zoezi hilo la medani.
Kazi imeanza….
Ndege vita zikiwa katika fomesheni.
Ndege vita angani.
Sehemu ya ndege vita.
Boti za kikosi maalumu zikielekea ngome ya adui.
Vifaru vinavyotembea majini na ardhini vikikaribia ngome ya adui.
Vifaru vinatoka majini na kuendelea na mashambulizi nchi kavu.
Makamanda wakiongoza shambulizi.
Wapiganaji wakishuhudia zoezi la medani.
Makamanda wakibadilishana mawazo.
Makamanda wakiwasiliana na walio uwanja wa vita.
Hali tete ngome ya adui.
Kikundi cha sanaa cha JWTZ kikitoa burudani wakati wa kusubiri zoezi lingine lianze.
Kikundi cha sanaa cha JWTZ kikitoa burudani wakati wa kusubiri zoezi lingine lianze.
Kikundi cha sanaa cha JWTZ kikitoa burudani wakati wa kusubiri zoezi lingine lianze.
Meja Jenerali Mwakibolwa akitoa maelekezo kwa washereheshaji.
Meza kuu ikifurahia.
Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea jambo na Mkuu wa Majeshi Jemerali Davies Mwamunyange.
Meza kuu ikibadilishana haya na yale.
Hatimaye zoezi la kumtoa adui limekamilika kwa mafanikio na wapiganaji wanaelekea uwanja wa sherehe.
Wapiganaji wanarudi kishujaa.
Furaha ya ushindi baada ya mapambano ya anga, majini na ardhini.
Meza kuu ikiwapokea wapiganaji.
Mori juu!
Kikosi maalumu cha majini.
Meza kuu
Nderemo za ushindi zikishuhudiwa na meza kuu
Wapiganaji wakiwa uwanja wa sherehe
Wapiganaji mbele ya wakuu
Bendera za zikipepea mbele ya wapiganaji
Bendi ya muziki ya JWTZ Mwenge Jazz Band “Wana Paselepa” ikitumbuiza wimbo wa mashujaa
Amiri
Jeshi Mkuu anajiunga kunogesha burudani wakati Bendi ya muziki ya JWTZ
Mwenge Jazz Band “Wana Paselepa” wakati ikitumbuiza wimbo wa mashujaa
Amiri
Jeshi Mkuu anajiunga kunogesha burudani wakati Bendi ya muziki ya JWTZ
Mwenge Jazz Band “Wana Paselepa” wakati ikitumbuiza wimbo wa mashujaa
Furaha
tu wakati Amiri Jeshi Mkuu anajiunga kunogesha burudani wakati Bendi
ya muziki ya JWTZ Mwenge Jazz Band “Wana Paselepa” wakati ikitumbuiza
wimbo wa mashujaa
Washereheshaji wakipokea maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa zoezi hilo Meja Jenerali James Mwakibolwa
Wapiganaji wakiselebuka midundo murua ya Paselepa…
Wapiganaji kutoka JWTZ, JKT na mgambo walioshiriki kikamilifu katika zoezi hilo
Wanahabari wakiwa kazini kurekozi tukio hilo la aina yake
Bingwa wa zamani wa ndondi za uzito wa juu wa Taifa Makoye Isangula (kulia) akiwa na kikosi chake
Ndege vita zikikaribia kumaliza kazi
Wapiganaji wa kikosi cha mgambo
Amiri Jeshi Mkuu akiongea na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
Ndege vita zikipita kwa mara ya mwisho
Kiongozi wa ndege vita akitoa saluti maalumu kwa Amiri Jeshi Mkuu
Mkuu wa Majeshi akikabidhiwa bendera ya zoezi hilo la medani
Mkuu
wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akikabidhi bendera kwa mpiganaji
kuirudisha makao makuu kuashiria hitimisho la zoezi hilo.
Mkuu wa majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akisoma risala yake.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Husssein Mwinyi akisoma hotuba
yake na kumkaribisha viongozi wakuu kuongea na wapiganaji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiongea na wapiganaji.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wapiganaji.
Wapiganaji
wakimsikiliza kwa makini Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wapiganaji
wakifurahia hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wakiemndelea kumsikiliza Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wapiganaji wakimpigia makofi Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Vifijo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kuhutubia.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo katika hotuba yake.
Wapiganaji
wakifurahia hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wapiganaji
wakishangilia hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Wanamgambo
wanamshukuru Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwapa ajira papo kwa
papo.
Wapiganaji.
Furaha na msisimko.
Mpiganaji.
Mpiganaji.
Jukwaa kuu.
Bingwa wa zamani wa Taifa wa ndondi za uzito wa juu Makoye Isangula na kikosi chake.
wapiganaji wakakamavu kikosi cha mgambo.
Saluti wakati wa wimbo wa Taifa.
Ukakamavu wakati wa wimbo wa Taifa.
Saluti kwa wimbo wa Taifa.
Saluti.
Amiri Jeshi Mkuu akiagana na wapiganaji.
Kazi nzuri vijana wangu…..
Hongereni sana kwa kazi nzuri…..
Hongera sana vijana
Safi sana….
Hongera sana….
Kwaherini vijana
Amiri Jeshi Mkuu akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mhe. Assumpter Mshama.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli akiondoka eneo la tukio kwa ukakamavu.
PICHA: ISSA MICHUZI.
Comments
Post a Comment