Rais Magufuli Ateua Makatibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa na Mara
Bw. Ado Steven Mapunda anachukua nafasi
iliyoachwa wazi na Bw. Benedict Richard Ole Kuyan ambaye amestaafu. Pia,
Rais Magufuli amemteua Bw. Tixon Tuliangine Nzunda kuwa Katibu Tawala
wa Mkoa wa Rukwa.
Bw. Tixon Tuliangine Nzunda anachukua
nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Symthies Emmanuel Pangisa ambaye
amestaafu. Tarehe ya kuapishwa kwa Makatibu Tawala wa Mikoa walioteuliwa
itatangazwa baadaye.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es Salaam 09 Septemba, 2016
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es Salaam 09 Septemba, 2016
Comments
Post a Comment