RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KUADHIMISHA SIKU YA BWANA YA 19 BAADA YA PENTEKOSTE KANISA LA MTAKATIFU ALBANO
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakishiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya
Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.

Waumini
wakipokea baraka katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini
Dar es salaam wakati wa Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya
19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Mpiga
kinanda Bw. Charles Mang'enya akielekeza wimbo kwa waumini katika kanisa
la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa Ibada
ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi
ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakishiriki kutoa sadaka katika kanisa la Anglikana la
Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo
Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakipeana mikono na waumini wengine katika kanisa la
Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa Ibada ya
Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakipokea Sakramenti Takatifu katika kanisa la Anglikana
la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam wakati wa Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo
Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli akisalimia waumini katika kanisa la Anglikana la
Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo
Septemba 26, 2016.
Sehemu ya
waumini katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es
salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada
ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Baadhi ya

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia Bw.
Charles Mang'enya shilingi milioni kama zawadi kwa vikundi vya kwaya vya
kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya
Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste
asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar
es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19
baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia waumini wa kanisa la Anglikana la
Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili
kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo
Septemba 26, 2016.
Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Padri Thomas Godda na Padri
Johnson Godda katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar
es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19
baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli akiteta jambo na Padri Mstaafu Gideon Gweja katika
kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya
Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste
asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar
es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19
baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Watoto Watumikiaji wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini
Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya
19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na
Padri Jackson Sosthenes (kushoto) na Padri Johnson Lameck wakati
alipowasili katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es
salaam kushiriki katika Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya
19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufulia katika picha ya kumbukumbu na mapadri na watoto
watumikiaji wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es
salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada
ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar
es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19
baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipozi kwa
picha na baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano
jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya
Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono
waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam
baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya
Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
wakipozi kwa picha na baadhi ya familia za waumini wa kanisa la
Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam baada ya Ibada ya
Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya Pentekoste asubuhi ya
leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar
es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19
baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
baadhi ya waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar
es salaam baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19
baada ya Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam
baada ya Ibada ya Jumapili kuadhimisha siku ya Bwana ya 19 baada ya
Pentekoste asubuhi ya leo Septemba 26, 2016.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment