DIAMOND PLATINUMS NA ZARI THE BOSS LADY WATIKISA VISIWANI ZANZIBAR

Leo septemba 23 ni siku ambayo Zarithebosslady anasherehekea siku yake ya kuzaliwakatika kusherehekea siku hii muhimu mpenzi wake Diamond Platnumz, pamoja na mtoto wao Princess Tiffah wameambatana na baadhi ya watu wao wa karibu na kwenda mapumzikoni visiwani Zanzibar.
Angalia Picha Jinsi Walivyowasili Visiwani Humo.


Comments
Post a Comment