NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI AWATAKA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KUKABILIANA NA ONGEZEKO LA AJALI KWA KUFUATA SHERIA
Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa
Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni
(katikati), akieleka ukumbi wa mkutano wakati wa kikao alichofanya na
askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani.Kushoto ni Naibu
Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Abdulrahman Kaniki na kulia ni
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga. Mkutano
huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Askari Polisi hao ni wadau muhimu katika kufanikisha Mkakati wa Baraza
wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini uliozinduliwa hivi karibuni
na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa
Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni
(katikati), akiwa amesimama wakati askari wa Kikosi cha Usalama
Barabarani(hwapo pichani), wakiimba wimbo wa maadili wa Jeshi la Polisi.
Kushoto ni Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Abdulrahman
Kaniki na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda
Mohamed Mpinga. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi
Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa
Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni,
akizungumza na askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama
Barabarani(hawapo pichani) wakati wa mkutano na askari hao wakiwa ni
wadau muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za
barabarani nchini, uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi
Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa
Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga, ambaye pia ni
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, akizungumza na
askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani(hawapo pichani)
wakati wa mkutano na askari hao wakiwa ni wadau muhimu katika Mkakati
wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini, uliozinduliwa
hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano huo
ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es
Salaam.Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini
Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, ambae pia ni Makamu
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Edwin Ngonyani,
akizungumza na askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama
Barabarani(hawapo pichani) wakati wa mkutano na askari hao wakiwa ni
wadau muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za
barabarani nchini, uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi
Oysterbay, jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa
Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Askari wa
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, akiuliza swali wakati wa
mkutano ambao mgeni Rasmi alikuwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani) .Mkutano huo
ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Askari wa
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, wakimsikiliza Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa
Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo
pichani) wakiwa ni wadau muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana
na ajali za barabarani nchini, uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la
Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa
Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam. (Picha Zote na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Comments
Post a Comment