MIILI YA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI YAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akipita kutoa
heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyobeba miili ya askari
waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande,
Temeke ,bada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya polisi
vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akitoa mkono wa
pole kwa mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na
majambazi katika eneo la Mbande, Temeke ibada hiyo ya kuaga miili
ilifanyika katika viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini
Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ,
akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada ya
kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande, Temeke ,ibada hiyo ya
kuaga miili ilifanyika katika Viwanja vya Kambi Kuu ya Polisi iliyopo
barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati
wa kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada
ya kuvamiwa na majambazi .Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja
vya Polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, akizungumza wakati wa maombolezo
na kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada
ya kuvamiwa na majambazi.Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja
vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment