EXCLUSIVE…MWANA DADA WA CHADEMA JOYCE KIRIA AMKATAZA MUMEWE KUSHIRIKI KAMPENI YA UKUTA.
HIVI NDIYO ALIVYO ANDIKA KUPITIA MTANDAO WAKE WA FACEBOOK
Nimeshamuomba sana shemeji yenu asome alama za nyakati jamani..Mkuu wa Kaya wa sasa kwa kweli hapanaaaaa wasimshike sharubu pls…. Hii UKUTA uuuuuwiiii









.
.
Kinamama wenzangu Hasa WAKE wa hawa wanaUKUTA pls tuwashauri waume zetu jamani







.
.
Kiukweli wamefanya kazi kubwa nzuri katika Taifa hili na mbinu zao zilifanikiwa sana kwa serikali iliyopita kwa sababu Dady alikuwa hana neno mkwere wa watu, anawachekea na kuwapa nafasi ya kuwasikiliza na juice wanapewa, lakini sasaivi uuuuuuwiiiii wapunguze spidi na wasome sana mchezo, HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA huyu BABA hacheki jamaniiiii











.
.
Yaani kiukweli nampenda sana Kilewo wangu, nimemwambia UJANE wa kulazimishana siutaki kabisa jamani








.
.
Mambo yakiharibika jamani Wanawake na Watoto itakula kwetu zaidi












Comments
Post a Comment