Mtuhumiwa Mauaji ya Mwangosi Akutwa na Hatia.

Daud Mwangosi.
Mwangosi
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemtia hatiani, Pacificius Cleophace Simon ambaye ni mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa  mwandishi wa habari wa Channel Ten na Mwenyekiti  wa Chama cha Waandishi wa  Habari Mkoa  wa  Iringa, Daud Mwangosi kwa kuua bila kukusudia.
Mahakama imesema itatoa hukumu ya kesi hiyo keshokutwa Julai 27, mwaka huu.
Pacificius anatuhumiwa kumuua Mwangosi katika tukio lilitokea katika Kijiji cha Nyololo, wilayani Mufindi Mkoani Iringa Septemba 2, 2012.

Comments

Popular posts from this blog