MTOTO WA OSAMAA AAPA KULIPIZA KISASI KWA MAUWAJI YA BABA YAKE
''Tutaendelea
kuwasaka na kuwapiga popote pale mtakapokuwa mumejificha ati nyuma ya
pazia za usalama kwa maovu munayoyaendeleza ,Palestina, Afghanistan,
Syria, Iraq, Yemen, Somalia na kote kwenye ardhi ya waislamu mnayokalia
'' shirika la habari la Reuters linamnukuu.
''na kwa wale wanaodhania kuwa tutakuwa tukilipiza kisasi mauaji ya Osma ole wenu, kwanini sisi tutakuwa tukilinda dinia ya kiislamu'' alisema Hamza.
Image
captionnyumba alikopatikana Osama bin Laden mwaka wa 2011 huko
PakistanOsama aliuawa na makomando wa marekani katika maficho yake huko
Pakistan mwaka wa 2011.Hamza ambaye kwa sasa ana umri wa kati ya miaka
ishirini hivi alikuwa na babake kabla ya mashambulizi ya kigaidi ya
mwaka wa 9/2001 huko Afghanistan kabla ya kukimbilia Pakistan kufuatia
mashambulizi makali ya Marekani na washirika wake.
Hamza kulingana na wachanganuzi anatambulishwa na kiongozi wa kidini wa kundi hilo Ayman al-Zawahiri katika ujumbe huo unaolenga kuwavutia vijana ambao kwa sasa wamejiunga kwa wingi na kundi la Islamic state.
''na kwa wale wanaodhania kuwa tutakuwa tukilipiza kisasi mauaji ya Osma ole wenu, kwanini sisi tutakuwa tukilinda dinia ya kiislamu'' alisema Hamza.
Hamza kulingana na wachanganuzi anatambulishwa na kiongozi wa kidini wa kundi hilo Ayman al-Zawahiri katika ujumbe huo unaolenga kuwavutia vijana ambao kwa sasa wamejiunga kwa wingi na kundi la Islamic state.
Comments
Post a Comment