BREAKING NEWSS: ACT WAZALENDO WAPINGANA NA OPERESHENI YA CHADEMA ,WATOA TAMKO HILI ZITO.

KATIKA kile kinachoweza kusemwa kuwa ni sawa na CHADEMA,Chama cha ACT Wazalendo mapema leo hii wametoa tamko lao kuhusu oparesheni ya UKUTA.

Jana CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mbowe,walitangaza kuianza operesheni hiyo ifikapo mwezi wa tisa mwaka huu kwa madai ya kupinga kile wanachokiita udikteta.
ACT Wazalendo leo hii kupitia ukurasa wao wa Twitter wamesema kuwa hawakubaliani na jambo hilo kufanywa na CHADEMA.
CHADM

Comments

Popular posts from this blog