WAZIRI MKUU, MAJALIWA AONGOZA MATEMBEZI YA WAFANYAKAZI WA BENKI KUU.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na wasanii wa Benki Kuu baada ya
kuongoza matembezi kuchangia madawati ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
miaka 50 ya Benki kuu ya Tanzania. Matembezi hayo yalianzia Benki Kuu
hadi viwanaj vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Juni 11, 2016. Zaidi
ya shilingi milioni263 zilichangwa.
Bendi
ya Poli ikiongoza matembezi ya kuchangia madawati ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya miaka 50 ya Benki kuu ya Tanzania. Matembezi hayo
yalianzia Benki Kuu hadi viwanaj vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Juni 11, 2016.Zaidi ya shilingi263 milioni zilichangwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza matembezi ya kuchangia madawati
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Benki kuu ya Tanzania.
Matembezi hayo yalianzia Benki Kuu ha viwanaj vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es salaam Juni 11, 2016.Kushoto kwake ni Gavana wa Benki Kuu, Benno
Ndulu na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.
Zaidi ya shilingi milioni 262 zilichangwa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuongoza matembezi ya
kuchangia madawati ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Benki
kuu ya Tanzania. Matembezi hayo yalianzia Benki Kuu hadi viwanaj vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Juni 11, 2016. Zaidi ya shilingi
milioni 263 zilichangwa.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments
Post a Comment