RAIS DKT. MAGUFULI AKABIDHIWA REPOTI YA UCHAGUZI MKUU WA 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wageni mbalimbali mara baada ya kupokea Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa
Mwaka 2015 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Jaji
Damian Lubuva Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Damian Lubuva Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha UDP mzee John Momose Cheyo mara
baada ya kumaliza kuzungumza na wageni mbalimbali katika tukio la
upokeaji wa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Fahmi Dovutwa mara baada ya
kuhutubia katika tukio la upokeaji wa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka
2015
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo pamoja na Mwanachama wa Chama cha UDP Goodluck Ole Medeye ,
Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo pamoja na Jaji Mark Bomani Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu Salim Ahmed Salim mara baada ya
kuwasili Ikulu kwa ajili ya upokeaji wa Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa
Mwaka 2015 kutoka Tume ya Uchaguzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada
ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya upokeaji wa Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa
Mwaka 2015 kutoka Tume ya taifa ya Uchaguzi(NEC)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa Serikali,Marais Wastaafu,
Mawaziri Wakuu Wastaafu, Tume ya Uchaguzi na Mabalozi wa nchi mbalimbali
mara baada ya kupokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2015 kutoka
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT
baba Askofu Dkt. Fredrick Shoo mara baada ya kupokea Taarifa ya Uchaguzi
mkuu wa Mwaka 2015 kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mwanasiasa mkongwe John Shibuda huku Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein naye akisalimiana na
Mwenyekiti wa Chama cha UDP Mzee John Momose Cheyo mara baada ya
kukamilika kwa tukio la upokeaji wa Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa Mwaka
2015 kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Baadhi
ya Wageni na Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa wamesimama wakati
wimbo wa Taifa ukipigwa kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli kupokea taarifa hiyo ya Uchaguzi kutoka Tume
ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). PICHA NA IKULU.
Comments
Post a Comment