Pichaz 15: CRDB wamemkabidhi Paul Makonda milioni 100

 


Baada ya Rais Magufuli kutangaza elimu bure kuanzia elimu ya msingi mpaka kufikia kidato cha nne, kumekuwa na changamoto kubwa ya uhaba wa madawati ambapo Serikali ilianzisha kampeni ya uchangiaji wa madawati, leo June 14 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda  amepokea milioni 100 kutoka Bank ya CRDB kwa ajili ya manunuzi ya madawati katika Mkoa wa Dar es Salaam,
Nimeshaongea na wakuu wangu wote wa Wilaya popote pale ambapo upo waje na mimi kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nitapokea chochote kile hata kama liwe ni dawati moja nitalipokea>>>Paul Makonda
IMG-20160614-WA0046
IMG-20160614-WA0047
IMG-20160614-WA0048
IMG-20160614-WA0052
IMG-20160614-WA0053
IMG-20160614-WA0054
IMG-20160614-WA0056
IMG-20160614-WA0055
IMG-20160614-WA0060
IMG-20160614-WA0061
IMG-20160614-WA0063
IMG-20160614-WA0066
IMG-20160614-WA0068
IMG-20160614-WA0069

Comments

Popular posts from this blog