Aina mbalimbali ya maumivu ya tumbo
Kuna hali nyingi zinazoweza kusababisha maumivu ya tumbo. Chanzo cha maumivu hutegemea na sehemu maumivu yalipo.
Maumivu chini ya mbavu:
Kulia yanaweza kusababishwa na mawe kwenye mfuko wa nyongo, maambukizi kwenye mfuko wa nyongo Cholecystitis, uvimbe wa ini, jipu kwenye ini, saratani ya kongosho na kifuko cha nyongo.

Maumivu chini ya chembe ya moyo:
Husababishwa na vidonda vya tumbo, kiungulia, saratani ya tumbo na saratani ya kongosho.

Maumivu pembeni mwa kitovu:
husababishwa na mawe ya figo Kidney Stones, maambukizi ya figo, Pyelonephritis na maambukizi kidoletumbo Acute Appendicitis

Maumivu chini ya kitovu:
huweza kusababishwa na maambukizi ya mfumo wa mkojo, magonjwa ya zinaa kama klamidia, PID, vivimbe vya mji wa uzazi, mimba kuharibika na saratani ya kibofu cha mkojo.

Maumivu ya tumbo:
Ni utumbo kujiziba Intestinal Obstruction, utumbo kujisokota Volvulus, kula sumu na mzio wa chakula fulani au ugonjwa wa Crohn Crohn’s Disease, Ngiri Hernia au homa ya tumbo Typhoid Fever.

Kama unapata maumivu makali sana ya tumbo, yanajirudia au yanaambatana na dalili zozote kati ya zifuatazo basi onana na daktari mapema iwezekanavyo hasa kama una homa, kutapika matapishi yenye damu au kutapika sana, kukosa choo hasa ikiambatana na kutapika, tumbo kuvimba na kuumia.
Matibabu
Wakati ukielekea hospitali kwa ajili ya matibabu unaweza kutumia dawa za kutuliza maumivu kama Paracetamol au Diclofenac. Ukifika daktari atakufanyia vipimo kisha kukupa dawa.
TUPE MAONI YAKO NA SHARE NA WENGINE KUWASAIDIA WENYE MATATIZO YA KIAFYA KAMA HAYO.
Comments
Post a Comment