DK. SHEIN AONGOZA SIKU YA KILELE CHA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI ZANZIBAR

ds1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na Binafsi,  wakipita mbele yake wakati wa sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
ds2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na Binafsi,(pichani) Vijana waliobeba bango kutoka Ofisi ya Makamo wa Pili ya Rais akipita mbele yake wakati wa sherehe za sikuya Wafanyakazi Duniani katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
ds3Baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakiwa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika  Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo mgeni rasmin akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,[Picha na Ikulu.]
ds4Baadhi ya Vingozi na Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi wakiwa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika  Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,mgeni rasmin akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,[Picha na Ikulu.]
ds5Baadhi ya Vingozi na Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakiwa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika  Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo mgeni rasmin akiwa Baadhi ya Vingozi na Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakiwa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika  Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo mgeni rasmin akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,[Picha na Ikulu.]
ds6Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakinyanyua mikono juu kuashiria Mshikamano wakati wa sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani,ambazo sherehe zimewajumuisha  mbali mbali wa Taasisi za Serikali na Binafsi katika  Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
ds7Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimakabidhi zawadi Musssa Yussuf wa ZSSF Laki Sitafedha taslim  akiwa mfanyakazi Bora Chama cha ZAFICOWV katika sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani Zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
ds8Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimakabidhi zawadi Bi.Asya Rajab Said fedha taslim laki tano,kutoka Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  akiwa mfanyakazi Bora Chama cha ZUPHE katika sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani Zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
ds9Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na Binafsi pamoja na Wananchi wakati wa Kilele cha siku ya Wafayakazi Duniani sherehe zilizofanyika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

Comments

Popular posts from this blog