BUNGE LAENDELEA NA KIKAO CHAKE MJINI DODOMA LEO
Baadhi ya
wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakitoka nje ya
ukumbi wa Bunge mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza cha
maswali na majibu na uchangiaji wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
Wizara Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi leo mjini Dodoma.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Anthony Peter
Mavunde ambaye akiwasalimia kwa furaha wanafunzi wa Chuo cha Ufundi
Stadi (VETA) Dodoma leo kwenye viwanja vya Bunge.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Anthony Peter
Mavunde akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi -VETA mkoa wa Dodoma
nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali (AG) George Masaju (katikati) akizungumza na viongozi
wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) waliolitembelea
Bunge mjini Dodoma.
akiwasisitiza
jambo viongozi wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)
alipokutana nao nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri wa
Elimu,Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako (kushoto)
akimweleza jambo Rais wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi
(MoCU) Bw. Frank Nkya (kulia) nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
Waziri wa
Elimu,Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako
(kulia)akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti
ya Utumishi wa Umma Mhe. Angella Kairuki (kushoto) nje ya ukumbi wa
Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa
Elimu,Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika
picha ya pamoja nawanafunzi wa Chuo cha Ufundi -VETA mkoa wa Dodoma nje
ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.PICHA/Aron Msigwa-MAELEZO.
Comments
Post a Comment