RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 22 YA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakishuhudia wenyeji wao Rais Paul Kagame na Mama
Janeth Kagame pamoja na binti yao wakiweka shada la maua katika viwanja
vya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbali mjijini Kigali, Rwanda, leo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiwa na wenyeji wao Rais Paul Kagame na Mama
Janeth Kagame wakiwasili katika viwanja vya Kumbukumbu ya Mauaji ya
Kimbali mjini Kigali, Rwanda, leo katika maadhimisho ya kumbukumbu ya
miaka 22 ya mauaji hayo yaliyotokea mwaka 1994 ambapo watu takribani
milioni 1,000,000 waliuawa.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiweka shada la maua wakishuhudiwa na wenyeji wao
Rais Paul Kagame na Mama Janeth Kagame wakiweka shada la maua katika
viwanja vya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbali mjijini Kigali, Rwanda, leo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Rais
Paul Kagame kwa pamoja wakiwasha "Urumuri Rutazima" (Mwenge/mwali wa
Matumaini) katika maadhimisho Kumbukumbu ya miaka 22 ya Mauaji ya
Kimbali mjijini Kigali, Rwanda, leo
Comments
Post a Comment