Mastaa Wajitokeza Kumuenzi Steven Kanumba
Mama mzazi wa aliyekuwa Staa wa
Bongo Movie, Marehemu Steven Charles Kanumba, Flora Mtegoa akiwa
ameshika shada wakati wa ibada fupi ya kumuombea mwanaye.…Akiweka shada kwenye kaburi la mwanaye,Marehemu Steven Kanumba. Mama wa Staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael, Lucresia Karugila akiweka shada kaburini. Ndugu, jamaa na marafiki wakishiriki kuwasha mishumaa kaburini hapo.
Zoezi likiendelea la kuwasha mishumaa kaburini hapo.
Taswira ya kaburi lenyewe.
Ndugu, jamaa na marafiki
wakishiriki ibada fupi ya kumuombea Marehemu, Kanumba kama kumbukumbu ya
kutimiza miaka minne toka kifo chake
Staa waBongo muvies hapa nchini, Anty Ezekiel akifanya mahojiano na baadhi ya wanahabari makaburini hapo.
Rais wa Shirikisho la Filamu
Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba akizungumzia namna Marehemu Steven
Kanumba atakavyoendelea kuenziwa tarehe kama ya leo na mwezi, tangu kifo
chake.
NA DENIS MTIMA/GPL
Comments
Post a Comment