Maajabu Mazishi ya Liyumba

LIYUMBAAliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Joachim Liyumba enzi za uhai wake.
Stori: Dustan Shekidele, Wikienda
MAHENGE, Morogoro: Rest in peace! Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Joachim Liyumba (68), aliyefariki Aprili 18 na kuzikwa wikiendi iliyopita kijijini kwao, Kwiro, Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani hapa huku mambo manne yakiwastaabisha waliojitokeza kwenye mazishi hayo.
  • Mwili wapokelewa kwa ngoma ya baba yake Liyumba, ni ngoma aina ya Sangora.
  • Ngoma yakesha
liyumba (1)
Wombolezaji wakiwasili kanisani kwa ajili ya maombezi ya ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Liyumba.
  • Wakiwa njiani kuelekea kanisani…. Mwili wa Liyumba wabadilishwa kutoka gari la kwanza na kuwekwa kwenye gari la wagonjwa kisha kuelekea katika Kanisa la Parokia ya Kwiro, Jimbo la Mahenge.
liyumba (2)Padri Filbert Mhasi akiendesha ibada
  • Mazishi yake yahudhuriwa na watu wachache.
  • Chanzo chabainika kwa nini wakazi wa Ulanga walisusa kuhudhuria msiba huo.
liyumba (3)
Watoto wa marehemu wakiweka shada kwenye kaburi la baba yao.
  • Wakati ulipofika wa mwili wa marehemu kuingizwa kaburini, ghafla mvua kubwailinyesha dakika chache na kukata ghafla.
liyumba (4)
KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA, LEO April 25, 2016

Comments

Popular posts from this blog