Daraja la Kigamboni kufunguliwa rasmi jumanne Aprili 19, 2016
Viongozi Shrika la Taifa Hifadhi ya Jamii NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakandarasi wa daraja la Kigamboni wakati lilipofunguliwa kwa ajili ya kupita magari kupita bure huku watembea kwa miguu na waendesha baiskeli wakipita bure. Daraja hilo litazinduliwa rasmi na Rais Dk. John Magufuli Jumanne tarehe 19.4.2016.
Meneja
Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Karim Mataka akiwa katika eneo
la daraja la Kigamboni mara baada ya kufunguliwa kwaajili ya kupita
magari na waenda kwa miguu.
Muonekano wa daraja la Kigamboni baada ya magari kuanza kupita.
Eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi wakati wa uzinduzi rasmi.
Pikipiki na magari yakipita darajani.
Comments
Post a Comment