BREAKING NEWS : MSANII TUNDA MAN APATA AJALI MBAYA IRINGA



 
Taswira za ajali aliyoipata Tundaman leo.
Kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakua umekutana na taarifa inayomhusisha Tunda Man kupata ajali  akiwa Mkoani iringa Asubuhi ya April 17 
Tundaman2-620x400
Tunda Man.
Maelezo ya mwanzo ya Tunda Man amesema ‘Tulikua tunatoka Njombe baada ya kumaliza show yetu na tukasema bora tusilale tuwahi kufika Dar,tumetoka Njombe saa 10 alfajiri mimi nikawa nasikia usingizi nikamwambia mwanangu hebu tuendeshe kidogo,kufika kijiji cha Idetelo kilomita kama 20 au 30 kabla ya kufika Mafinga tukiwa tumelala tukashtuka Gari inaingia porini tukasikia mshindo mkubwa gari imepiga puuuh Dereva hapo hapo akawa amefariki
Tunda Man anamalizia kwa kusema ‘Tulikua watu watano kwenye gari aliyekaa mbele na Dereva amevunjika mkono na nyama zimechanika,kuna mtu aliyekua nyuma mapafu yamepasuka,Mimi nipo poa,kwa sasa hivi tuko Mafinga hapa Hospitali ya Wilaya tunaangalia taratibu za kuchukua mwili tuupeleke Kilosa kwa ndugu zake,marehemu aliyefariki anaitwa Mussa lakini watu wengi wanamjua kwa jina la Man katuzo.
Tundaman (2)
Tundaman akiwa na marehemu Mussa maarufu kwa jina la Man Katuzo enzi za uhai wake.
Tundaman (1)
Tundaman (kushoto) akiwa na Stamina (katikati) pamoja na marehemu Man Katuzo enzi za uhai wake.
2flkp
3flkp
4flkp
5flkp
6flkp
7flkp
12flkp
11flkp
10flkp
9flkp
8flkp

Comments

Popular posts from this blog