BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU YAPITISHWA NA BUNGE MJINI DODOMA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akihitimisha hoja ya makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2016/2017 bungeni
mjini Dodoma Aprili 27, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge ,Ajira na Watu Wenye
Ulemavu, Jenista Mhagama akijibu baadhi ya hoja za kuhitimisha
makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa
fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016. (Picha na ofisi ya
Waziri Mkuu)Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge ,Ajira na
Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akijibu baadhi ya hoja za
kuhitimisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa
Mwaka wa fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016. (Picha
na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabungeu)baada ya bunge kukubali
kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa
Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na
wabungeu)baada ya bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni
mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Watu Wenye
Ulemavu, Jenista Mhagama akipongezwa na Mbunge wa Ilemela na Naibu
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Angella mabula (kulia) na Mbunge
wa Buchosa, Dkt. Charles Tizeba baada ya bunge kukubali kupitisha
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa
Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Makatibu Wakuu wa Ofisi yake
baada ya bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma
Aprili 27,2016. Kutoka kushoto ni Erick Shitindi, Dkt. Hamis Mwinyimvua
na Uledi Mussa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu Wenye Ulemavu,Jenista Mhagama baada
ya bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya
Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili
27,2016. Wengine pichani ni Makatibu Wakuu wa ofisi ya Waziri Mkuu,
Erick Shitinidi ( kushoto) na Dkt. Hamis Mwinyimvua (watatu kushoto)) na
Dkt (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Bunge, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia)
baada ya bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma
Aprili 27,2016. Wengine ni Makatibu Wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt.
Hamis Mwinyimvua (kushoto) na na wapili kushoto ni Uledi Mussa.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyakazi na Watendaji wa Ofisi
ya Waziri Mkuu, baada ya bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato
na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni
mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Watendaji wakuu wa mifuko ya Jamii
baada ya bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma
Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akipongezwa na Watendaji wakuu wa mifuko ya Jamii baada ya
bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya
Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili
27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Wafanyakazi na Watendaji wa Ofisi
ya Waziri Mkuu, baada ya bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato
na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni
mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri, Naibu
Mawaziri, Makatibu Wakuu na Watndaji wa Ofisi na Taasisi zilizochini ya
Wizara yake baada ya bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na
Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni
mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments
Post a Comment