ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI ISSENYI 2

mif2
Waziri Mkuu, Kassim Majajaliwa  akifurahia zawadi ya picha aliyozawadiwa na wananchi wa Kata ya Kakunyu wilayani Missenyi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera  Machi 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mif1
Afisa Mifugo  wa Kata ya Kakunyu wilayani Missenyi, Eric Kagoro  akitoa maelezo mbele ya Waziri Mkuu na wananchi kuhusu tuhuma kuwa analinda wafugaji toka nchi jirani wanaolisha mifugo yao kwenye ardhi ya Tanzania kinyemela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

Popular posts from this blog