WAZIRI LUKUVI HASITISHA HATI YA UMILIKI WA ARDHI HEKARI 3903 ZA MWEKEZAJI WILAYANI MBULU....


Waziri akikagua mchoro wenye eneo la mgogoro.
Waziri wa Ardhi nyumba na makzi Mh. William Lukuvi jana tarehe07/03/2005  alikuwa na ziara ya kikazi Wilayani Mbulu Mkoani Manyara ambapo alienda kutatua migogoro ya ardhi inayolalamikiwa wananchi na baraza la Madiwani baina ya muwekezaji. 
katika Ziara hiyo Waziri lukuvi amefuta hati za ardhi eneo la nyumba zilizouzwa na serikali kwa wananchi kutokana na ugawaji mbaya wa viwanja kwa kutozingatia sheria za ugawaji na kuwaomba idara ya ardhi kufuata taratibu za kuagwa viwanja kama walivyouzwa na kila mwenye haki ya kumiliki ardhi katika eneo hilo linagawiwa kulingana na mahitaji ya wananchi  kwani eneo hilo lina jumla ya viwanja 119 na linamilikiwa na watu wachache. 

Waziri  wa Ardhi akisikiliza majibu toka kwa mtaalam wa TBA toka Makao Makuu.
Aidha katika Ziara hiyo Waziri wa Ardhi nyumba na makazi amesitisha hati ya umiliki wa ardhi ekari 3,903 mali za muwekezaji wa shamba la Baragweka liliko katika kijiji cha Eshkesh wilayani humo , sababu kubwa za kusisitisha ni kufutia malalamiliko toka kwa wanakijiji waishi hapo.Waziri wa ardhi  amemuomba Katibu Tawala wanMkoa Manyara,Mkuu wa Mkoa Manyara,Uongozi wa wilaya na idara ya ardhi kuitisha kikao kwa wananchi na kuwahoji kama wananchi wakubaliana na mwekezaji huyo na itakapo bainika na kuridhia kwa saini zao ndio mali hiyo itarudishwa kwa mwekezaji huyo.


kamati ya ulinzi na usalama ikmimsikiliza katibu wa umoja wa wazee wilayani humo wanaonga mkono madai ya baraza la madiwani



baraza la madiwani likimsiliza waziri wa ardhi,nyumba na makazi
Wataalam mbalimbli wa Idara na Vitengo wakimsikiliza Waziri wa ardhi alipokutana nao katika ukumbi wa mkutano

wataalam wa ardhi toka makao makuu

Waziri wa ardhi akiongea na mamaia ya wakazi wa wilaya hiyo waliojitokeza kumsikiliza.
Wananchi wa Mbulu wakisilisha hoja zao za migogoro mbele waziri wa ardhi na makazi

Mkuu wa idara ya ardhi ngudu Mathiya akijibu swali la wanachi wenye mgogoro mbele Waziri


Waziri wa ardhi wa ardhi, nyumba na makzi akipokea maelezo ya mchorowa eneno lenye mgogoro lililositishwa umiliki wake toka kwa mtaalam wa ardhi bwana Charles mwenye sharti jeupe karibu na waiziri.
Waziri akiagana na madiwani mpakani mwa wilaya ya mbulu na babti maarufu kama mto magara


Comments

Popular posts from this blog