Waholanzi Wawili Wakamatwa KIA na Tumbili 61

Profesa Maghembe
Waziri wa Maliasili na Utalii Pro. Jumanne Maghembe.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe leo amemsimamisha kazi Mkurugenzi Msimamizi wa Wanyamapori, Charles Mulokozi baada ya kutoa vibali vya kusafirisha Tumbili kwenda Albania.
Sakata hilo limetokea baada ya Jeshi la Polisi kuwakamata raia wawili wa Uholanzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakiwa na tumbili 61 hai wakijaribu kuwasafirisha kwenda nchini Albania.

Comments

Popular posts from this blog

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA