Rais Magufuli, Kenyatta waweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Tengeru nje kidogo ya
Jiji la Arusha mara baada ya kuwasili kwa ajili ya Uzinduzi rasmi wa
Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika Tengeru nje
kidogo ya jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
kabla ya uzinduzi rasmi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3
uliofanyika Tengeru nje kidogo ya jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta kabla ya uzinduzi rasmi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi
Km 234.3 uliofanyika Tengeru nje kidogo ya jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Uganda Yoweri Museveni
kabla ya uzinduzi rasmi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3
uliofanyika Tengeru nje kidogo ya jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta, Uganda, Yoweri Meseveni na Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein
wakati Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukipigwa kabla ya uzinduzi
wa barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika Tengeru nje
kidogo ya jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Arusha hawapo
pichani kabla ya ya uzinduzi rasmi wa Barabara ya
Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika Tengeru nje kidogo ya jiji
la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwaongoza Marais wa Kenya, Uganda,
Makamu wa Rais wa Sudani Kusini pamoja na Burundi kukata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara ya
Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika Tengeru nje kidogo ya jiji
la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akimwagilia mti maji pamoja na Mkurugenzi wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika(Nairobi) Gabriel Negata mara baada ya
uzinduzi wa barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika
Tengeru nje kidogo ya jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara
baada ya sherehe za unzinduzi wa barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km
234.3 uliofanyika Tengeru nje kidogo ya jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi
za Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na viongozi mbalimbali wa ndani na
nje ya Nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein mara baada ya sherehe za uzinduzi wa barabara hiyo kukamilika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo
ya Afrika(Nairobi) Gabriel Negata mara baada ya uzinduzi wa barabara
hiyo ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika Tengeru nje kidogo
ya jiji la Arusha.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment